Mashabiki wakiingia katika uwanja wa New City Pub kushuhudia Kili Music Tour
Mkali kutoka Mbeya Izzo Bizness ndani ya backstage.
Chibwa anaefanya miondoko ya Ragga ndie aliifuungua show ya Kili Music Tour Mbeya
Shilole akionyesha uwezo wake wa kulishambulia jukwaa ikiwa ni pamoja na kumpandisha jukwaani mmoja wa mashabiki.
Backstage: AY na DJ wake Arthur
Rich Mavoko na madansa wake stejini
Mashabiki wakifurahia wasanii wanavyolishambulia jukwaa
Massawe na Kimario kama wanavyopenda kuitwa waliendeleza utamaduni wao wa kufanya show kwa pamoja katika Kili Music Tour.
Wadau wakifuatilia kinachojiri jukwaani toka pembeni ya jukwaa la Kili Music Tour.





