Featured Posts

Sunday, August 10, 2014

AJALI YA NDEGE YAUA 48 IRAN

Ndege ya Iran iliyoanguka na kuua watu 48 leo asubuhi.
WATU 48 wamefariki dunia baada ya ndege ndogo ya abiria waliyokuwemo kuanguka katika makazi ya watu jirani na Uwanja wa Ndege wa Mehrabad uliopo magharibi mwa mji wa Tehran nchini Iran leo asubuhi.
Ndege hiyo mali ya kampuni ya Taban Air ilikuwa inaelekea katika Jiji la Tabas.

TUMEAMIA HUKU