Featured Posts

Sunday, August 24, 2014

MWANAFUNZI WA CHUO CHA USHIRIKI MOSHI AKUTWA AMEJINYONGA KATIKA NYUMBA AMBAYO KWA SASA HAIKALIWI . . .

havijajulikana mpaka sasa amekutwa akiwa
ameekufa kwa kujinyonga ,huku mfuko wa
nyuma wa suruali yake ukiwa njee ,katika
eneo
la mwanjelwa mbeya hapo jana katika
nyumba
pagale lililo telekezwa ,lilikuwa nyumba ya
kuishi kwa sasa haikaliwi
kijana huyo ni mwanafunzi wa chuo cha
ushiriki
Moshi alikuwa mgonjwa
na kulazwa hospitali ya Rufaa Mbeya na
alikuwa
mgonjwa kiasi kwamba
hakuwa na nguvu kutembea yaani
anapepesuka. Cha kushangaza alitoka
hospitali
mida ya saa tisa usiku na hakurudi mpaka
kukutwa katika hali hyo ya umauti .
Uchunguzi
unaendelea na kesho labda tutakuwa na
taarifa
kamili .

TUMEAMIA HUKU