Featured Posts

Monday, August 18, 2014

MMMH FIESTA NOMA, KUCHUPI NA TATOO YA RECHO CHAWATOA UDENDA NGOSHA WA KAHAMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.

TUMEAMIA HUKU