mamia wamejumuika pamoja katika kanisa katoliki kushiriki ibada ya kumkumbuka na kuomboleza kifo cha mwanahabari james foley ambaye aliuawa kwa kukatwa kichwa na kikundi cha kigaid cha ISIS huko iraq, watu mbali mbali wameshiriki ibada hiyo ikiwemo baba na mama mzazi wa mwandishi huyo ambaye alikua na umri wa miaka 40, ambapo wamesema kuwa wanajivunia mtoto wao ambaye amekufa akijaribu kuanika jinsi gani wananchi wasio kuwa na hatia wanavyopata shida.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...