Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, September 1, 2014

Lady Jaydee: Hata ndoa yangu ikivunjika haimaanishi mnitafutie story za kunichafua, ajibu kwa urefu habari iliyoandikwa na gazeti la udaku

wake wa Facebook amejibu kwa urefu zaidi juu ya
habari hiyo.
Hivi ndivyo alivyoandika Jide:
Zamani ilikuwa haipo sehemu ya kujitetea, gazeti
likishaandika ndio limeandika.
Lakini sasa ulimwengu umebadilika, sio muda wa
watu wote kulishwa chakula kisichofaa.
Kwanza hicho kichwa cha habari kimenivunjia
heshma sana
Nafikiri lengo ni kuilazimisha jamii inayomuelewa
JayDee tofauti imuone kuwa ni mtu asiefaa, sawa.
Dogo anaswa na mkoko? Huo mkoko mmemnasa
nao wapi wakati hizo picha ni mimi nilizi post
mwezi February Instagram?????
Picha ambazo zilipigwa Nyumbani lounge tena
kutumia simu ya Gardner.
Jide, dogodogo gumzo mjini
Gumzo ni kitu kinachoongelewa sana na
kilichoenea kila kona ,,,,,sasa hii habari ni gumzo
wapi ambapo haisikiki, ……
Mngeandika tumeamua kumuanzishia Jide gumzo
hili, ndio ningewaelewa.
Vitu vya kuzua.
Ni watu wengi tu wakija band wakipata nafasi
wanaomba kupiga picha na mimi na wengine pia
wanaomba kupiga picha na gari sababu
wanaipenda.
Kama mtu yoyote anavyoweza kupiga picha na
sanamu la kitu chochote anachokipenda.
Hivi je! Wimbo wa JayDee mgumba, JayDee tasa
umechuja? Umeisha chati?? Nashangaa na
najiuliza tu
Inawezekana wimbo huo umechuja ndio maana
mnatafuta wimbo mwingine utakao hit zaidi ya ule
Ndio kinachopelekea kuandika story za namna hii
Sio nyinyi mliokuja kuomba radhi kwa yote
mliowahi kuniandika na kudai kuwa
mmejirekebisha, miezi kadhaa tu iliopita?
Sio boss wenu aliemfuata Gardner na kumwambia
tumalize tofauti zetu?
Kama hizo tofauti zilikuwepo
Inawezekana nyie ndio mna tofauti na mimi,
sijawahi kuwa na tofauti na mtu hata
nisiemfahamu. ..
Nashukuru Mungu nilikataa msamaha wenu ni
kama nilihisi hamkumaanisha
Au sababu sijawahi kukubali show mlizotaka
kufanya na mimi?
Je! Hiki ni kisasi? Sielewi
Mungu alienisimamia ataendelea
Hii sio vita ya kwanza wala ya mwisho
Dunia ni mapambano.
Kama nia ni kufanya niishi maisha ya uoga,
kudhoofika na msongo wa mawazo mmefeli ,,,,,
wengine mkijidai ni wacha Mungu huku mkiumiza
nafsi za watoto wa binadamu wenzenu.
No wonder mnaishi bila amani mbali na utajiri
mlionao kwa kuogopa visasi.
Sikuzaliwa kukata tamaa
Pia wapo wanaopenda kuandikwa kwenye hayo
magazeti yenu
Wafanyieni favor ya kuwapa hiyo nafasi mi sifanyi
muziki wa magazeti ya udaku
Mkiachana na mimi nitashukuru sana
Hata ndoa yangu ikivunjika haimaanishi mnitafutie
story za kunichafua
Ndoa ya Madiba ilivunjika sembuse yangu nina
utofauti ipi na binadamu wengine?
Nyie ndoa zenu ziko perfect si ndio?
Hewala watakatifu nyie, mnaoficha yenu na
kutangaza ya wenzenu.
Mwisho nawaomba watu mnaonielewa kutoamini tu
habari yoyote ambayo haijatoka kwangu wala kwa
muwakilishi wangu ambae ni “Webiro Wakazi
Wasira”.
Kama kuna chochote cha watu kujua nitakiongea
mimi kwa mdomo wangu sio kuwekewa maneno
mdomoni.
Kila siku ooooh tulimpigia simu hapatikani, namba
yangu yenyewe kwanza hata mnaijua???
Mngekuwa mnaijua msingekuwa mnahangaika
mnawapigia watu wangu wa karibu kunitafuta , na
hao watu hawawezi kunisaliti ndio sababu mpaka
miaka 70 mtaishia kusema tulimpigia simu JayDee
hapatikani.
Nyie muongee chochote mnachojiskia
Ila sie hatuna haki kujitetea ??
Hili nalo litapita kama mengine
Na inshallah nitakuwa hapa hapa nimesimama
nawaangalia
Picha moja wapo ni hiyo ambapo mtoto wa vitoto
alikuja siku hiyo hiyo na akapiga picha na Gardner,
mbele ya gari hiyo hiyo mnayodanganya watu
kuwa mmemkuta nayo na mahala ni hapo hapo
Nyumbani Lounge, ,,,,, na picha nyingine ni hizo
nilizowahi kuzi post mimi mwenyewe mwezi
february leo zinanihukumu endeleeni kudanganya
jamii
Na hizo ni chat alizoniandikia huyo mtoto wa vitoto
ambae ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza
kumuona na sijawahi kumuona tena. . Zaidi ya
kuongea nae twitter ,,, sisemi kama mimi malaika
lakini Ukweli huwa hauchanganywi na uongo.
Kwa hili mmenidhalilisha sana
Kama nia yenu jamii inione mwanamke nisiefaa na
ninaependa dogodogo
Basi Mungu atawaonyesha ukuu wake

DIAMOND ALA SHAVU MATATA.. SASA KUWEPO JUMBA LA BIG BROTHER JMOSI HII

Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii
watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu
mpya wa shindano la Big Brother Africa
utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini
Afrika Kusini.
Akizungumza na bongo5 leo, meneja wa staa
huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo
akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show
hiyo.
“Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa
kasharudi bongo kwa sababu weekend hii
tunaperform kwenye Big Brother launch kwahiyo
tunaenda South Africa. Tukitoka South Africa
tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi.
Tukitoka Nairobi tunakwenda Ungereza kwenye
show ya African Unplugged, kwaHiyo ratiba yetu
ipo tight,” amesema Tale.

HII SASA KALI MUME NA MKE WAKUTANA GESTI KILA MMOJA AKIWA NA MCHEPUKO WAKE HUKO MBAGALA

LAANA HII PICHA ZA UTUPU ZA MTOTO WA KIGOGO WA MASAKI ZAVUJA MTANDAONI TAZAMA HAPQ NI SHIDAAAH

zinazohusu wasichana kupiga picha za
utupu kwa lengo la kukemea tabia hiyo,
lakini bado sikio la kufa halisikii dawa
kwani ndiyo kwanza wamecharuka.
Kwetu sisi , kupiga picha chafu si tabia
njema na inaharibu maadili ya jamii
nzima ambayo kimsingi si utamaduni
wetu .
Tunarudia tena na tena kutoa angalizo
letu kwa mabinti kuwa makini na
wapenzi wao , wasikubali kupigwa picha
chafu wanapokuwa nao faragha, kwani
inaweza kuharibu .
BOFYA HAPO CHINI KUONA PICHA HIZO
ZA UCHI
<<BOFYA HAPA KUONA PICHA YA
KWANZA >>
<<BOFYA HAPA HAPA PICHA YA PILI>>
<<BOFYA HAPA PICHA YA TATU >>
<<PICHA YA NNE>>

TAHADHARI KWA WAVUVI NA MUENDAO BEACH KUWENI MAKINI SIKU YA LEO.. INGIA HAPA KUJUA ZAIDI

HABARI PICHA: AJALI MBAYA YA GARI YATOKEA MAENEO YA TAZARA JIJINI DAR

URAIA WA NCHI MBILI WAENDELEA KUPINGWA NA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa
chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge
Maalumu la Katiba baada ya wote
kukubaliana zaidi juu ya hasara za
kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya
usalama wa taifa na uzalendo kupungua.
Katika semina iliyoandaliwa kwa
Wajumbe wa Bunge hilo na mada
kutolewa na Idara ya Uhamiaji, Abdallah
Khamis Abdallah ambaye ni Kamishna wa
Udhibiti na Mipaka wa idara hiyo,
imeonesha kuruhusiwa uraia pacha ni
hasara zaidi kwa Tanzania kuliko faida.
Suala hilo kwenye semina hiyo
likawafanya wajumbe zaidi ya 12 kati ya
16 waliochangia kukataa uraia pacha na
kumuacha mwakilishi wa Diaspora,
Kadari Singo kutumia nguvu nyingi
kutetea uraia pacha huo.
Wajumbe wa Bunge wakizungumza na
mwandishi wameeleza kuwa Uhamiaji
imeeleza kuwa Watanzania wameondoka
nchini kwa sababu za kufuata elimu,
viapo vilivyowafanya wawe watiifu kwa
nchi walizopata uraia na wengine kwa
kuitukana nchi haifai na hawawezi kuishi
Tanzania.
Mjumbe Wazir Rajab Salum alisema
Uhamiaji imetaja faida ya uraia pacha ni
za kiuchumi pekee na nyingi ni hasara,
ikiwemo kuangalia uzalendo ambapo
imeonekana kuruhusu kutapunguza
uzalendo na usalama wa taifa utakuwa
hatarini.
“Kumeonekana yule mtanzania aliyeapa
kuilinda nchi ya pili iliyompa uraia
mwingine ni rahisi kumtumia kuifanyia
ubaya Tanzania na walioondoka
wameonekana wanakosa uzalendo hata
akirudi hawezi kuwa sawa na Mtanzania
aliyebaki nchini miaka yote,” alieleza
Salum.
Hata hivyo, aliongeza; “wapo waliounga
mkono uraia pacha lakini wakataka
watanzania waliochukua uraia nje
wawekewe utaratibu wakipewa uraia
nchini wasiruhusiwe kushiriki nafasi za
uongozi yaani wasichague wala
kuchaguliwa”.
Naye Almas Maige alisema Uhamiaji
imeona waliokula viapo nje vya uraia
hawataweza kutumikia ‘mabwana’ wawili
na tayari wameshaonekana si waaminifu
kwa nchi yao ya awali.
Hata hivyo, Singo akizungumza na
waandishi wa habari kwenye viwanja vya
Bunge alitetea hoja yake ya Tanzania
kuruhusu uraia pacha na kusema,
“wanasema aliyeomba uraia wa nje
amekosa uzalendo hivi mzalendo ni yupi
anayeiibia pesa nchi akapeleka nje au
anayeleta pesa nchini. Uzalendo si kigezo
kwani mtu yeyote anaweza kukosa
uzalendo…”
“Usalama wa taifa wanaosema
unahatarishwa ni upi ni kwa mtanzania
aliye nje kuja nchini kwake au kumpa uraia
wa pili Mnyarwanda ambaye nchi yake
inaruhusu uraia pacha na ukamnyang’anya
hati ya kusafiria na akienda kwao atapewa
nyingine huku akitoa siri za nchi na yule
mfanyakazi wa serikali mwenye siri nyingi
anayezitoa kwa kupokea rushwa. Marekani
inaweza kuleta satelaiti ikasikiliza
mawasiliano ya nchini. Hivi si vigezo vya
kumnyima uraia mtanzania aliye nje”.
Akitoa mifano ya faida kwa nchi
zilizoruhusu uraia pacha, alisema
Wachina waliopo nje wanarudisha kwao
dola za Marekani bilioni 60 kwa mwaka,
Nigeria dola za Marekani bilioni 20 na
Kenya inapata dola za kimarekani bilioni
1.7 kutoka kwa Wakenya waliopo
Diaspora.
Kwa sasa watanzania waliopo wanaleta
nchini dola za kimarekani kati ya milioni
10 na 37 huku Benki ya Dunia ikionesha
watanzania waliopo nje ni milioni tatu.
Alishauri uraia pacha uruhusiwe na
kuwekwe mipaka, kwani hata yeye na
watanzania waliopo nje wanajua
hawawezi kurejeshewa uraia wao kwa
asilimia 100. Tanzania ni kati ya nchi saba
za Afrika ambazo hazijaruhusu uraia
pacha. Burundi ni miongoni mwao.
Katika semina hiyo Katibu Mtendaji Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango Dk Philip
Mpango aliwaeleza wajumbe wa Bunge
Maalumu la Katiba umuhimu wa kuweka
mpango mkakati wa uchumi imara
kwenye rasimu ya katiba mpya na
kuwekwe uhakika wa viwanda endelevu

NOMA SANA DENTI ANUSURIKA KULIWA URODA NA MKATA MAJANI VICHAKANI

Denti alibakia chupu chupu kuliwa uroda
na njemba wakiwa wameenda porini kwa
majambozi kwa bahati nzuri mchezo
mzima kumbe ulikuwa unafatiliwa na
wajanja wa town ..

DIAMOND ALIVYONUSURIKA KIPIGO HUKO UJERUMANI BAADA YA KUCHELEWA KWENYE SHOW POLISI WAOKOA JAHAZI

Gari ya Polili ilioibuka kumuokoa Diambond kufuatia sakata la mashabiki wake kupandwa na jazba
Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na washabiki mjini stuttgart,ujerumani
UJERUMANI SI SHWARI KIMENUKA !!
POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA ! KASHINDWA KUWIKA STUTTGART KISA ?

KAFIKA UKUMBINI SAA 10 ALFAJIRI ! WASHABIKI WANASURI SHOW TANGU SAA 4 USIKU

PROMOTA MNAIJERIA AINGIA MITINI ,DJ APATA KISAGO HETI VYOMBO VIBOVU ! HAIBU

Stuttgart,Ujerumani,
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show,washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.
Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki  Diamond na promota wake,Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muzikima-Djs walishambuliwa na wapo Hosptalini kwa sasa.
Mmoja wa Djs hao alipoteza Lap top yake ,mwanadada DJ  Flor alipatwa shock mstuko wa moyo na kukimbizwa hosptali, washabiki hao walimpa kipigo  DJ Drazee naye yupo hoi hospatal. Polisi nchini ujerumani wanamesema tukio hili la haibu alijawahi kutokea,kuwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa ujerumani ni kitu cha hatari kwani washabiki wa ujerumani wanaheshimu sana muda wao.
mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema kuwawanachunguza thamani ya hasara hiliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promoter huyo raia wa Nigeria,ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Magazeti ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wa hasira nawe DIAMOND"

KWELI NICK MINAJI NI FUNDI WA KUTIKISA MAKALIO YAKE, TENA AKINA NA KIBIKIN.. MTIZAME HAPA AKIPERFOM WIMBO WAKE MPYA WA ANAKONDA

Tuzo za Mtv video awards zilifanyika jana uk marekani na kuhuzuriwa na wasanii kibao,katika moa ya burudani zilizowafuruisha mashabiki wengi
ni ile Burudani kutoka kwa Mwanadad Nick Minaj na wimbo wake mpya wa Anaconda, Nick Minaj aliaacha watu hoi pale alipoanza kuyarudi huku akitikisha booty lake na fans wengi kushangilia,
Tazmaa video hapa kuona alivyowapagawisha wengi

TUMEAMIA HUKU